Kenya ni nchi yetuNchi ya kifahariWatu ni wakarimu,tunampenda MunguSisi twapenda kumsifu BwanaNa Kila siku, twakushukuruWe ni mlinzi na ngome yetuTwanyenyekea., utuinueChorusx2Mimi ni Mkenya....Aaa.aaaLe..leleleSibagui kabila.aa...leleleNapenda mwenzangu..Oh oh,LeleleNampenda jirani..ii...leleleTuheshimu wazee, eee, yaleta barakaTulinde watoto, ni uridhi wetutufanye kazi, sisi wanayuthiTuukuze uchumi, tujitegemeeWakenya wote, sote tuko sawaTwasonga mbeele, haturudi nyumaTwenda pamoja eee, moja kwa mojaTwajivunia kuwa Wakenya. Chorusx2Wakenya wote.. Eee... NananaTupendane... Eee... NananaTuelewane. Eee.... NananaTupende amani.. iiii.. Lelele ... Read More...
Share