Ezzy Skillz Ft Vidah - B.H.G

[Intro: Vidah]Hoooh oooooohSiweziTena aaahHoooh oooooh ouhoooo oouh[Verse 1: Ezzy_Skillz]Nipe nafasi nikuonyeshe...wangu upendo wa kweliKidonda nikuponeshe...na sitaki failKwa mapenzi yangu ya dhati...ninavyopenda kweliSihitaji niwe na chart...ukaniona tapeliNajua umeshachoka...kuambiwa unapendwaAah Cos nyuma ulipotoka...wengi washakutendaNatena ukajipa moyo...utaishi peke yakoHauhitaji maumivu ya moyo...ndani ya penzi lakoSiwezi hata sahau...siku uliposema"All the Boys are the same" na hautopenda tenaHebu fungua moyo wako...kuna utofautiWa hayo mawazo yako...yaliyojazwa chukiI said calm down girl...let's bind the piecesI can help you don't say Nah...You gotta listernNinaposema nakupenda...namaanisha its realHautaki tena kupenda...That's what they make you feelBeybee[Chorus: Vidah]Oooh NoooSiwezi kupenda tena NasemaNimeshaumizwaWalishakuja nawakantema aahBeyb nooo oooh ooohKurudi nyuma tena mi siweziOooh Nooo ooohMi siwezi[Verse 2: Ezzy_Skillz]Utazidi furahi...kwa mapenzi ntayokuonyeshaNakiri walaahi...kidonda siwezi toneshaPendo lako hai...haters twazidi watesaAah aah wanawait penzi nikilipotezaYes! nanukuu true love huwa inakuaSijabisha...nathibitisha nimetambuaBeyb! nipeti peti...zaidi ya wale wa zamaniHizo miniskirt...ndiyo zanikosesha amaniTukiwa kwa room...kicheko chako ndiyo kitawaleUshaninywesha sumu...ya pendo lako me nipagaweQuestion! najiuliza...hivi kwanini walikuumiza?Aah aah hawana jipya...mapenzi bado wanaigizaHilo tabasam...ndiyo lazidi nipa hamuI'm thankful beyb umezaliwa na nidhamNdani ya Dar_Salaam...jiji lenye watoto watamWe ni one in a million...nataka wafaham[Chorus: Vidah]Oooh NoooSiwezi kupenda tena NasemaNimeshaumizwaWalishakuja nawakantema aahBeyb nooo oooh ooohKurudi nyuma tena mi siweziOooh Nooo ooohMi siwezi[Verse 3:][Ezzy_Skillz]Acha nikupende...hadi ujipende mwenyeweNipo tayari niitwe chizi hadi milembe inieleweKuwa nawe maishani...kwangu ni bahatiUnaweza hisi ni utani...ulivyoiteka nafsiI say Broken Heart Garl...we ni kila kituWanafki siwasikii I can make it up to ...you BeybgarlBeyb garl[Vidah]Ntakupa nafasiNione kama una mapenzi ya kweli...WeweNione kama una nia ya kweliNtakupa chanceNione kama una mapenzi ya kweli...WeweNione kama una nia ya kwee eeliWee wee eeeh Wooou ooouh[Autro: Ezzy_Skillz]"Sometimes Love Won't take you in a right way you wanted"Calm down Beybgarl ..I can help you let's bind these piecesEzzy_Skillz" ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.