Nisamehe

VERSE 1: Damy Duro.Kutwa kucha nagombana na moyo hujui,Nnajitafuta kama mtoto kwa mama hakui,Natamani ungejua,jinsi gani mi nnaugua,Natamani ungejua,jinsi gani mi nnaumia,Nilishatenda makosa nikalia na mola,Leo nnakuja kwako basi punguza hasira,Nilishatenda makosa nikalia na mola,Leo nakuja kwako basi punguza hasira hasira mama.CHORUS: Shazy Kid.Nisamehe,nisamehe,nisamehe,Kwani nami binadam pia,Nisamehe,nisamehe,nisamehe,Tumeumbwa kukosea dia.VERSE 2: Shazy Kid.Usijekwenda mbali na mimi utaumiza moyo wangu,Nakiri kosa nimekosea nisamehe mupenzi wangu,Nnapiga goti huku nnalisa naomba lithamini chozi langu,Yale yote yaiylotokea haikua dhamira yangu mama,Si unajua mazoea yanatabu mama,Ukiondoka utaumiza moyo wangu baby,Tafadhali nnakuomba chondechonde mama,rudisha moyo nyuma,Maisha yangu hayawezi kwenda bila wewe,Usiwape nafasi watu waongee,Tafadhali nimekoma tuyamalize,sitorudia tena.REPEAT CHORUS:VERSE 3: Mamu J.Jiamini nishakusamehe baba,Kuwa makini dunia inamizengwe sana,Jiamini nishakusamehe baba,Kuwa makini dunia inamizengwe sana,Nimesamehe na nimesahau ooooh,Nimesamehe na nimesahau ooooh,Nimesamehe na nimesahau oooh,Nimesamehe na nimesahau ooooh. ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.