H. Fire, Mi mgonjwa wa mapenzi, Na everyday unaniumiza roho, Siungesema tu hunipendi kuliko mi kuniumiza rohoKila siku mi naumia sababu nini? Sababu ni weweUkiniacha mi ntaumia, Ukiniacha mpweke ntabaki mwenyewe. QueenYoz:Wanaume nawaelewa, Kila dem tu wamtamani, Ukiona rinda tu, Nazi ni tui l kwanza, Ulimbukeni hauna siri, Unafanya naudhika, kwenye penzi naudhika mie, Acha huo udhalimu, Moyo si njumu, Mwenzio sitaki umizwa. Chorus:Nipe PENZI 4G, data isome H+, Sio E kidizaini, usije kuwa minus. QueenYoz. Mapenzi 4G nayatamani, Ooh my G, mi nifanani, sitaki umizwa kichwa, Kwani kutendwa is like a fashion, Sitaki kulaumiwa nipe, PENZI 4G nikuridhishe. ... Read More...
Share