Bongo HipHop Ft. P Funk Majani

Verse 1Ulianza wewe, wakaja waimbaji na wabana puaWale mwewe, Franga wawindaji wakatusuaKwakuwa, wanajua mshikaji unaishi kwa mikona zako itikadi, ziko kimziki na sio mshikoKama haileti hela, basi haimake sense, no sweat kisela mie nikakomaa tu na lako penziSikusound garbage au kuchange suddenlyMie ni mjeshi so naweza fight savagelyHiphop ya ukweli, ukapigwa radioni/sometimes malaika wa heri nao hutembelea motoniPenzi ni kipofu na anayemuona halionisikuwa na hofu, mama alinipenda tangu nikiwa tumboniI started young, I made my mother's womb a drumMy umblirical chord a guitar, muhoji aliyenizaaBongo Flava mzuri kiasi, hiphop we ndo my queenmy 1st my last & everything in between ChorusMimi na wewe, tangu long timeKabla ya hizi pesa kabla haijaja hii FameBongo Hiphop X2 Verse 2Kama kukupenda wewe ni dhambi, basi shetani yu namina kamwe sintonyea kambi ili niwabambe dukaniFor a million little pieces naweza kumcon Oprah ka James FreyNa watasema sitishi wakati wanaogopa nisitokeeWaufuate mkumbo huu wa wasomi, wa midundo na mistariukiwa na nyundo mkononi, ni rahisi kupigilia msumariSio tu bongo, mpaka Ng'ambo hakuna uhuru wa habarikuna uhuru wa mwenye chombo, mitambo na mwenye maliKujifanya hawasikii, haiwasaidii, wala haiwajengiunachosema ni, kamwe IPP haitompinga MengiUnawakumbusha wazazi wa uswazi, chati ya uteja imeingiana Mapusha wanauza drugs ili walishe familiaMbaya, kuhifadhi fuvu la mtu ndani ya kabatimbaya zaidi ni kuwa na ndugu, halafu kichwa majiAmka bongo lala, hiphop sio ufala, ni lazima uifateUaminifu ni kama mshahara, fanya kazi ili uupate ChorusMimi na wewe, tangu long timeKabla ya hizi pesa kabla haijaja hii FameCha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstreamBongo Hiphop X2 Verse 3Mapenzi ya sikuhizi, bila kugombana yanakua hayana stimuPia ni ruksa kushikana lakini sio kushikiana simuInanipa wazimu, kusikia kimwana haujaachana na HasheemNa bado mnawasiliana, una mpango wa kuchanganya timu?Nakupenda hiphop, ndo maana ninarap ile mbayaNaspit fire bila hennessy, au kula kayaI want my art to be my legacy, kabla sijaretire, waanze nigwaya hawa enemies, anyways ni haya tuBeef huletwa na wivu, na wivu sio hiphop Can you finish the song for us? Let us know! ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.