Unikumbuke

Chorus (Kibwagizo)Unikumbuke, Unikumbuke Bwana,Unikumbuke, katika shida yangu,Ninapolemewa, ninapofadhaika,Unikumbuke, Usiniache BwanaNinapolemewa, ninapofadhaika,Unikumbuke, Usiniache BwanaVerce 1 (Beti 1)Unikumbuke, usiniache Bwana,Niimarishe, unipe mwanzo mpya,Ninapoanguka, ninapochechemea,Nisimamishe ili nisonge mbele,Ninapolemewa, ninapohuzunika,Unifariji, nitie nguvu Yesu,Chorus (Kibwagizo)(Eeh Bwana)Unikumbuke, Unikumbuke Bwana,Unikumbuke, katika shida yangu,Unikumbuke, Unikumbuke Bwana,Unikumbuke, katika shida yangu,Ninapolemewa, ninapofadhaika,Unikumbuke, Usiniache BwanaNinapolemewa, ninapofadhaika,Unikumbuke, Usiniache BwanaVerse 2 (Beti 2)Nipe uwezo ili nisonge mbele,Nitie nguvu nishinde majaribu,Adui zangu wanapoweka vikwazo,Nivushe Bwana ili waaibike,Maisha yangu yanapoharibika,Nipe uwezo nisikate tamaa,Chorus (Kibwagizo)(Eeh Bwana)Unikumbuke, Unikumbuke Bwana,(Eeh Bwana)Unikumbuke, katika shida yangu,(Eeh Bwana)Unikumbuke, Unikumbuke Bwana,(Eeh Bwana)Unikumbuke, katika shida yangu,(Ninapolemewa)Ninapolemewa, ninapofadhaika,(Eeh Bwana)Unikumbuke, Usiniache Bwana(Ninapolemewa)Ninapolemewa, ninapofadhaika,(Eeh Bwana)Unikumbuke, Usiniache BwanaAutroEeh Bwana Unikumbuke mimi,Kwa kibali ulichonacho kwa watu wako,Unijilie kwa wingi wa wokovu wako,Ili niuone wema wa matendo yako,Nipate kufurahia furaha ya Taifa lako,Na kukusifu pamoja na watu wako,Haleluya...Chorus (Kibwagizo)Unikumbuke, Unikumbuke Bwana,Unikumbuke, katika shida yangu,Unikumbuke, Unikumbuke Bwana,Unikumbuke, katika shida yangu,Ninapolemewa, ninapofadhaika,Unikumbuke, Usiniache BwanaNinapolemewa, ninapofadhaika,Unikumbuke, Usiniache Bwana ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.