Huyu Mshee

(guitar)yeea(guitar)(verse 1)Huyu mshee,tulisoma naye tulikua marafiki,kila siku shuleni tulisoma kwa bidii,tukirudi tulirudi pamoja nyumbani,huyu mshee..Huyu smhee,hadi kazi alijua kuifanya vizuri,ana mapozz, mrembo mwenye nidhamu nyingi,hadi mama yangu alimpenda zaidi,huyu mshee..(refrain) Huyu mshee, baada ya miaka mingi,tumeshakua kimoja kimwili kiakili,lakini sasa mimi, napenda huyu mshee,sijui nini nitafanya anipende mimi..(chorus) Mimi nimewezekana mimi *3penzi hilii ,meniweza mimi, ii.Mimi nimeezekana mimi *2Nashindwa niaje nitamwambia mimi nampenda, na tumetoka mbali..tararararararaa..(verse 2)Huyu mshee,maisha yenda mbele mi niko kazini,baadaye napanda gari narudi nyumbani,nikiwa kitandani hatoki akilini,huyu kipusa kweli..Huyu mshee,kila siku namuona akiwa na chali yake,wanabusu ama ameketi kwenye paja lake,mpaka ninashindwa nitaongea na yeye aje..wuuuuuu(repeat refrain)(repeat chorus)(adlips on refrain and chorus) ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.