Nikitaza uumbaji wake, waajabu, Hata matendo yake, Yashangaza}x2Yeye ni muweza yoteNa hata kuwepo, Wakushindana nayeAnasitairi, Kupewa sifaMatendo yake, HayachunguzikiWema wake haufananishwiNdio maana nasema Baba, hakuna kama yeyeNdio maana nasema Yawe, nimuwezaNdio maana nasema Baba, apewe sifa zake oohNdio maana nasema Yawe, ainuliweooh Yawe uinuliwe Uinuliwe yawe, uinuliwe (Uinuliwe yawe) Uinuliwe yawe, uinuliwe (Uinuliwa sana) Maana umeinuliwa sana yawe (Uinuliwe sana) Maana umeinuliwa sana yawe.....}x2 (Umeketi mahali pa juu) (Na matendo yako ni makuu)Aliziumba mbingu na nchi,Maarifa yake ni yaajabu,Mungu kamuumba mwanadamu, kwa mfano wake,Kampa na mamulaka, atawale viumbe vyake,Mungu kawalinda Shadraki, Meshaki na Abelnego,wakatupwe ndani ya tanuli la moto, hawakuteketeaDanieli katupwa kwenye shimo la simba, wenye njaa kali hawakumdhulu.Huyu Yawe, matendo yake hayafananishwiHuyu yawe, matendo yake yashangazaHuyu Baba katenganisha maji ya bahari ya sham,ili waizrael waweze kuvuka ng'amboHuyu Baba ainuliwe Uinuliwe yawe, uinuliwe (Uinuliwe yawe) Uinuliwe yawe, uinuliwe (Uinuliwa sana) Maana umeinuliwa sana yawe (Uinuliwe sana) Maana umeinuliwa sana yawe.....}x2 (Umeketi mahali pa juu) (Na matendo yako ni makuu)Akamtuma mwana wake wa pekee,Ili aje atuokoe sisi wanadamu,Alitenda mengi, miujizaAlitenda mengi, maajabuAliponya na viwete, wakapata tembeaAliponya na viziwi, wakapata sikiaAliponya na vipofu nao, wakapata kuonaAlifufua na wafu Yesu, wakafufuka,Aliponya na magonjwa huyu Yesu (tunakwinua)Tunakwinua, tunakwinua eeh YaweTunakwinua, tunakwinua eeh YaweUmeketi mahali pa juu palipo inuka. ...
Read More...
or login using your social media account
or login using your social media account
Share