Jose G ft SpacDawg-Nikiwa Mkubwa (NOIZ)

[5/13, 6:32 PM] Spac Dawgtz: Nikiwamkubwa lyricsArtist: Jose gee ft Spac DawgSong: NikiwamkubwaStudio: NoizymakerIntro:(jose)Spac dawg nipe mic (spac) aahaaa achaiyo (jose)jose g naweza kuchana (spac)laaana(jose)niachie banaa nichane banaa(Spac)shika kombe twende banaaChurus:Spac nifundishe gari subiri kwanza uwe mkubwaMi”staki baskeli subiri kwanza uwe mkubwaNataka kuendesha gari subiri kwanza uwe mkubwaNataka kuwa askari aaaahh aaaSpac nifundishe gari utagongaMi”staki baskeli utawezaaNataka kuendesha gari acha wengeeNataka kuwa askari ili utufungeeVers 1 Jose geeNikiwa mkubwa nitajiita big maisha yakisepa speed nitajitaidiNikazie mziki nitoke niliteke jiji sita hofia chochote nitashusha magwijiMziki uwe sanaa sio kuvunja tu kabati mi nitawafundisha kuwa mziki ni hisabatiNitahamasisha katikati kwenye umatikichwa changu kiwe shamba jembe langu liwe micnikiwa mkubwa sita shobokea mapenzi kwenye genge la wazinzi mi”nitajifanya ndezisitobeba nondo niwe mkubwa ka kibanda mi”nitasaka chambi naskia pesa ndomaujanja staki kubanja kisa mademu wa viwanjangono iniangushe inilaze kwenye kitanda no!Nitajieshimu nitajichunga nitajilindaUhuni nitautupa mbali wasiseme nimepindaChorusVerse 2:Spac DawgHey son we ni hatari una mzuka wa Lengai,Oldonyo au mdogo wa Dimuu,unataka kuwa pai,mtonyo adimu,si utashika wamasai,njeree anayo rungu anayo daga huko Olarusai,Ni shida,makosa ya jinai,Si utatubamba sana mpaka utakinai,mdogodigital hautaki baiskeli,na nikikupa gari mbele hauoni kweli,na ukiwa askari utanishika mimi mimi,lesseni nimekejeli,nikipelekwa neti nitakupaje mic? Niko na bwana mkubwa saa hiyo son Gee,ushakuwa mkubwa Jose Gee Spac D.O.GVerse 3Nikiwa mkubwa sitakuwa na shoboNa kama maisha ni mchezo nitawapiga toboNajua shida bado mdogo nitakomaaNitazidi kuwapenda ndugu na jamaaWazazi wananipenda wameniwekea misingiSababu nikiwa mkubwa nitayaona mengiNajiuliza je mziki utanipa shilingi Mahitaji ya nyumbani nimsave na dingiSauti ita badilika nitakua na bassNywele zikiota mvi nimekula chumviNijipange mwisho wa siku nile kwenye jamviOutroHebu lete mic yangu, school usiwe mtororo Ukiwa Mkubwarara, usinywe tungi ukawa dwararararaaaSpac D.o.g, Jose Gee,Def X[5/13, 6:34 PM] Spac Dawgtz: Nikiwamkubwa lyricsArtist: Jose gee ft Spac DawgSong: Nikiwa mkubwaStudio: Noiz mekahE:mail:kcksupremacy@gmail.comIntro:(jose)Spac dawg nipe mic (spac) aahaaa achaiyo (jose)jose g naweza kuchana (spac)laaana(jose)niachie banaa nichane banaa(Spac)shika kombe twende banaaChurus:Spac nifundishe gari subiri kwanza uwe mkubwaMi”staki baskeli subiri kwanza uwe mkubwaNataka kuendesha gari subiri kwanza uwe mkubwaNataka kuwa askari aaaahh aaaSpac nifundishe gari utagongaMi”staki baskeli utawezaaNataka kuendesha gari acha wengeeNataka kuwa askari ili utufungeeVers 1 Jose geeNikiwa mkubwa nitajiita big maisha yakisepa speed nitajitaidiNikazie mziki nitoke niliteke jiji sita hofia chochote nitashusha magwijiMziki uwe sanaa sio kuvunja tu kabati mi nitawafundisha kuwa mziki ni hisabatiNitahamasisha katikati kwenye umatikichwa changu kiwe shamba jembe langu liwe micnikiwa mkubwa sita shobokea mapenzi kwenye genge la wazinzi mi”nitajifanya ndezisitobeba nondo niwe mkubwa ka kibanda mi”nitasaka chambi naskia pesa ndomaujanja staki kubanja kisa mademu wa viwanjangono iniangushe inilaze kwenye kitanda no!Nitajieshimu nitajichunga nitajilindaUhuni nitautupa mbali wasiseme nimepindaChorusVerse 2:Spac DawgHey son we ni hatari una mzuka wa Lengai,Oldonyo au mdogo wa Dimuu,unataka kuwa pai,mtonyo adimu,si utashika wamasai,njeree anayo rungu anayo daga huko Olarusai,Ni shida,makosa ya jinai,Si utatubamba sana mpaka utakinai,mdogodigital hautaki baiskeli,na nikikupa gari mbele hauoni kweli,na ukiwa askari utanishika mimi mimi,lesseni nimekejeli,nikipelekwa neti nitakupaje mic? Niko na bwana mkubwa saa hiyo son Gee,ushakuwa mkubwa Jose Gee Spac D.O.GVerse 3Nikiwa mkubwa sitakuwa na shoboNa kama maisha ni mchezo nitawapiga toboNajua shida bado mdogo nitakomaaNitazidi kuwapenda ndugu na jamaaWazazi wananipenda wameniwekea misingiSababu nikiwa mkubwa nitayaona mengiNajiuliza je mziki utanipa shilingi Mahitaji ya nyumbani nimsave na dingiSauti ita badilika nitakua na bassNywele zikiota mvi nimekula chumviNijipange mwisho wa siku nile kwenye jamviOutroHebu lete mic yangu, school usiwe mtororo Ukiwa Mkubwarara, usinywe tungi ukawa dwararararaaaSpac D.o.g, Jose Gee,Def X ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.