AJIRA

Verse One(Muller iMC)Bora kufanya kazi binafsi, kuliko ajiraHakuna kitu sipendi kuliko ajiraThamani ya u_jira wa kwako chini ya mshaharaJasho, machozi na damu yako ndio kafaraPigana kijana, hayarudi majiraZisome alama za nya_kati, timiza dhamiraDhamira yako, hiyo ndo dira yakoUbora wa mawio yako, huakisi machweo yakoVuta taswira, picha ya kesho yakoNi fikra zako za leo, na ndo uzani wa hatma yakoSimama imara, busara na subira, jitihada na salaAllah ataepusha hasaraYu timamu, hukukosa elimu, utashi wako uko sawaChunguza vyako vipawaAjira ajira TZ ni biashara, rushwa na ukabilaAma kulipa fadhilaHook (Gabby RnB)Siku ni moja..Inasonga na muda..Jiajiri..Pia tumia akili..Oooh.. X 2Verse Two(Muller iMC)Sitaki kazi like my n¡gga Nikki wa PiliUtegemezi wa kazi ajira, hudumaza akiliNtachapa kazi binafsi kwa kujiariAgenda kubwa kichwani ni ku_usaka utajiriNi dhahiri, kila mmoja atakiriWaajiri ni wanyonyaji, hujengea umma ufakiriMiaka kumi umedumu kwenye kampuni ya mhindiNyumba umepanga, viatu umegandisha na gundiSiku zinakwenda mwenzako pato linapandaWewe uko vile vile, hushuki wala kupandaBora ufanye kazi binafsi kuliko ajiraMadhila ya ajira, mi nayajua ndo maana nilizilaYu timamu, hukukosa elimu, utashi wako uko sawaChunguza vyako vipawaAjira ajira TZ ni biashara, rushwa na ukabilaAma kulipa fadhilaHook (Gabby RnB)Siku ni moja..Inasonga na muda..Jiajiri..Pia tumia akili..Oooh.. X 4Bridge(Muller iMC)Ajira ajira TZ ni biashara, rushwa na ukabilaAma kulipa fadhila..X 2 ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.