nikugande

Intro; Shubiruturu tutu tabiraaheah! Oooh eah anhaaa! Verse 1; You said you fall...you fall in loveNaukasema utanipenda daimaYou said you fall...you fall in loveNaukasema utanipenda daimaNasema kama mapenziSiunajua nilipenda zamaniNa mapenzi ya kweliSi unajua yanatoka moyoniNasema kama kupenda mi'namini nilipenda zamaniNa mapenzi ya kweliSi unajua yanatoka moyoniOoaah! Chorus; Nikupende pende eeeh! ( Oooh my baby )Nikupende vp wewee! ( I don't know )Nikugande gande eeeh! ( Oooh my baby )Nikugande una nini wewee! ( I don't know )Nikupende pende eeeh! ( Oooh my baby )Nikupende vp wewee! ( I don't know )Nikugande gande eeeh! ( Yeah my baby )Nikugande una nini wewee! ( I don't know ) Verse 2; You said you fall...you fall in loveNaukasema utanipenda daimaYou said you fall...you fall in loveNaukasema utanipenda daimaKa ' kupenda napendaWe ' kupenda na kupendwa umeshindwa NaUkadhani ntakuganda kweliKupendwa na wengine sijashindwaNa Uzuri wako na uremboUkakupakichwa ukawa jeuriNa kitaani unaringaUnajipa sifa kumbe max sifuriNi heri kufuga nyukiNa sio kuishi nawe mrembo kiburi Ooaah! Chorus; Nikupende pende eeeh! ( Oooh my baby ) Nikupende vp wewee! ( I don't know )Nikugande gande eeeh! ( Oooh my baby )Nikugande una nini wewee! ( I don't know )Nikupende pende eeeh! ( Oooh my baby )Nikupende vp wewee! ( I don't know )Nikugande gande eeeh! ( Yeah my baby )Nikugande una nini wewee! ( I don't know )Verse 3; You said you fall...you fall in loveUka n'acha na makovuKipi nimekosa ma ah! I make you smileyou make me laughKumbe kama sarafuUnapande mbili ma ah! Ukisema Nikugande wee Nikupende weeBora mi ' nibaki mwenyewe eeiih! Ona kama mapenziHata babu hakuyaona machoniNa tena kama kupenda Mi ' na'mini nilipenda zamaniOna kama mapenzi Hata babu hakuyaona machoni Na tena kama kupenda mi'namini nilipenda zamaniBridge; You make me love, Me love you, Girl! Better give me what I gave What I gave you, girl! You make me love, Me love you, girl!.better give me what I gave What I gave you, girlUlidhani naku mindFujo zako ukaleta nyumbaniSasa mbona huendi Ulidhani ntakuganda, we nani? Ulidhani nakumindShida zako ukaleta nyumbani Sasa mbona huendiUlidhani ntakuganda, we nani? Ooooaaaaaah!Chorus; Nikupende pende eeeh! ( Oooh my baby )Na na na nanaah! ( I don't know )Nikugande gande eeeh! ( Oooh my baby )Na na na nanaah! ( I don't know )Nikupende pende eeeh! ( Oooh my baby )Na na na nanaah! ( I don't know )Nikugande gande eeeh! ( Yeah my baby )Na na na nanaah! ( I don't know )Outro; You said you fall...you fall in loveUka n'acha na makovuKipi nimekosa ma ah!I make you smileyou make me laugh Kumbe kama sarafu Unapande mbili ma ah!DR TEMBA, SANTINO, PRINCE ERIC ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.