Bomu la moto

SONG: Bomu la moto ARTIST: OperativeZun Record.... INTRO: Bomu la Moto! Bomu la Moto! VERSE 1: Oh! Naogopa mimi, Kaa mbali nami, Sina gamba mimi bado na hamu nataka ishi, Sitaki ofa zako, Kawagawie watoto, Walishe na kokoto mimi kitambo si wa kidato, Usiniachie goo, Mimi mtoto wa ronardo, Kwako siwezi piga bao vipi iweje hata kwa dobo, Usiniachie goo, Mimi mtoto wa ronardo, Kwako siwezi piga bao vipi iweje hata kwa dobo, Nana nana Nana! Nene nene Nene! Nana nana nana,Nenene Nananaa! Nana nana Nana! Nene nene Nene! Nana nana nana,Nenene Nananaaaaa! CHORUS: Usinifatefate! [Kaa mbali] Usinifatefate! [Kaa mbali] Usinifatefate! Bomu la moto utanichomaaa,[Kaa mbali] Usinifatefate! [Kaa mbali] Usinifatefate! [Kaa mbali] Usinifatefate! Bomu la moto utanichomaaa.[Kaa mbali] VERSE 2: Nna skendo zako, Ulishatibua huko, Yule mchinja majogoo umelipua kala kisago, Mimi ni fundi wa mabomu, la kwako linatia ugumu, lajaza mishoti kwenye damu,akuh! sitaki navaa njumu, Pita bomu ushanukia, Dakika chache zimesalia, Uni-mute ndani ya dunia,Kwenye idadi kunitilia, Pita bomu ushanukia, Dakika chache zimesalia, Uni-mute ndani ya dunia,Kwenye idadi kunitilia. Nana nana Nana! Nene nene Nene! Nana nana nana,Nenene Nananaa! Nana nana Nana! Nene nene Nene! Nana nana nana,Nenene Nananaaaaa! CHORUS: Usinifatefate! [Kaa mbali] Usinifatefate! [Kaa mbali] Usinifatefate! Bomu la moto utanichomaaa, [Kaa mbali] Usinifatefate! [Kaa mbali] Usinifatefate! [Kaa mbali] Usinifatefate! Bomu la moto utanichomaaa. [Kaa mbali] Usiniachie goo, Mimi mtoto wa ronardo, Kwako siwezi piga bao vipi iweje hata kwa dobo, Usiniachie goo, Mimi mtoto wa ronardo, Kwako siwezi piga bao vipi iweje hata kwa dobo, --------------BOMU LA MOTO-------------- ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.