SUCCESS

(chorus fredd swagg)siri ya success ni kufanya kitokacho ndani ya moyo,wala si kukata tamaa,ata Mungu ata bless ukienda race mwendo kasi kama toyo,sumu ni kukata tamaa,my mama was like anh anh, papa was like anh anh kila nachofanya hakifai wana kataa x2(verse 1)EMZmmenileta kwenye dunia, sitochoka kujivunia magumu nayopita sometime naeza kulia,mpaka nitakapotulia, life ikitick hamtosema nimefulia,nasonga mdogo mdogo kama soldier, mpaka nikishika namba moja,i told u ngoja nimesema ngoja,wanasema mimi mtoto wa mama mboga SABA,boom like SHABA, kukicha kwenye mishe japo usawa unakaba,(bridge fredd swagg)Najua Mungu ata bless,changamoto sio case,lengo ni kushika madoh,jua kali mi nasota bado nasafisha nyota,najua ipo siku nitagota ,(Boom)(chorus fredd swagg)siri ya success ni kufanya kitokacho ndani ya moyo,wala si kukata tamaa,ata Mungu ata bless ukienda race mwendo kasi kama toyo,sumu ni kukata tamaa,my mama was like anh anh, papa was like anh anh kila nachofanya hakifai wana kataa x2(verse 2)EMZzile siku mi nalia, walinisikia,zile siku naumia wengi walifurahia, mola akasikia shida zangu za dunia,penye nia pana njia maisha kupigania,siku-kata tamaa nikaanza fanya hustle,kwa kipaji nilichonacho, kuingiza tu kipato,nilihangaika kupata kifuta jashokila siku no kulala, kuhustle piga sala,baraka nazipata, dooh nakamata,baraka nazipata na dooh nakamata,hustle sitoacha ata nikapata successhustle sitoacha ata nikipata successsss(chorus fredd swagg)success ni kufanya kitokacho ndani ya moyo,wala si kukata tamaa,ata Mungu ata bless ukienda race mwendo kasi kama toyo,sumu ni kukata tamaa,my mama was like anh anh, papa was like anh anh kila nachofanya hakifai wana kataa x2(bridge Emz)when u hustle then u fall,better pray to god,never give up and put your head up!usikate tamaa kwa unayopitia,usijali wanayofanya na unayosikia,wewe hustle tulia shukuru ulipofikia,mafanikio yanahitaji kuvumilia... ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.