DON JB_UIMBE NA MIMI

DonJB - UIMBE NA MIMI Intro#1Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha Hakuna kitu kama muzikiUnakwenda na mapigo ya moyoUna-feel nice kama upendo #ChorusNatamani nikupe gariNyumba amaniMammy usiende mbaliNikuite nani darlingSema kipenzi cha mieNataka uimbe na miePa ra ra ra ra ra Verse 1Tanzania Tanzania TanzaniaHakuna place ka TanzaniaHakuna matataNatafuta napataMshiko, toto na bataMaisha sometimes kama lagerUkionja matamu kama fantaNapambana kistaaNimesahau kukata tamaaNatafuta mipesa ya ziadaKazi, michongo, dili sanaTengeneza pesa nyingi sanaKama ni snitch endelea kuski'ziaPambana na hali yako, umenipataUmenipata?Fuatilia maisha yangu, hutonipataUmenipata?Usiringe mpaka ukapoteza ladhaDon't botherUsikubali haraka ila kwa sifa utachelewa utachemshaTunapiga mishe fasta boya ashtuke ameuza(RRRRRaahhh)Piga dili kama VeillaWisdom kama SolomonPesa kama Don JB7Sauti ka Baraka Ndani ya gari kaliNawachizi wa kweli ka Gueverrah Intro#2Najua muziki unaski'zaUkiimba unaleta mzukaAsali hupaliaMdundo hurusha rohoMoyoni muziki hutuliza #Chorus(Uuuh la la la la weeela la la la heeeUuuh la la la laWe mamaUuuh la la la la) X2Nataka niimbe kwa ngeliNicheze kama singeliNikupake na asali(La la la la laa)Hii Dougie kama 'Kona'Naicheza kama 'Onana'Hakuna kama we mamaPa ra ra ra ra ra [ Intro#2 ]X2Najua muziki unaski'zaUkiimba unaleta mzukaAsali hupaliaMdundo hurusha rohoMoyoni muziki hutuliza [ Chorus ]X2Natamani nikupe gariNyumba amaniMammy usiende mbaliNikuite nani darlingSema kipenzi cha mieNataka uimbe na miePa ra ra ra ra ra ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.