mbavu zangu

[1 ]vers_ mbavu zangu zinanibana mamaaa..baridi linaniumiza moyo wangu umevuka milima kwako nataka jitulizaa. nakuona kwenye tv magazetini wanakuudhi wagombana na wasanii machalii kisa mapenzi ungejua vile ninavyo kupenda yaani na naumia vile wanavyokuita asali najua alikuchora mkononi mi nimekuchora moyoni najua ulimchora kifuani mi nimekuchora moyoni[ chorse ] mi napenda zako lipsi aahaa a a. mi napenda macho yako mi napenda unavyoringa mamaa mi napenda madoido yako{2} [2 vers ] ulipo sema unakomaa na jiji uhu u u.. ukaniacha malele malele uhu u u..mie kwako nyan'ganyan'ga mwenzako uhu u u...nikisema nakuchukua mwenzangu je? wewe utakubali... husiniambie say my name sababu nakutajaga deilee sijui unasumaku ama nini? maana moyo uwaunavuta sijui unahiridhi ama nini? ninapokwenda ntakuachizi..[ najua alikuchora mkononi mi nimekuchora moyoni najua ulimchora kifuani mi nimekuchora moyoni ] {chorse} mi napenda zako lipsi aha a a mi napenda macho yako mi napenda unavyoringa mamaa mi napenda madoido yako.... ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.