Hands Up

Get Your Hands Up…..ChorusHands Up, What A Gwan Man Acha Kiti Stand Up, Weka Mkono Juu Baby Gal What’s UpAah… Chap Chap, Aah… Chap Chap, Aah… Chap Chap Kwenye Mic Ya Rap,What A Gwan Man Acha Kiti Stand Up, Weka Mkono Juu Baby Gal What’s UpAah… Chap Chap, Aah… Chap Chap, Aah… Chap Chap Kwenye Mic Ya Rap,Verse 1.Siku Imeanza Jua Kali, Nimeamka Saa SitaJana Nilikuwa Kwenye Party, Wakapiga PichaLeo Story Kitaani, Magazeti YameandikaKwani Nna Kitu Gani, Mwisho Wangu Umefika.Wamesahau Kama Jua Duniani NavyohitajikaWanasema Mabaya, Mazuri YanafichwaWamekuwa Malaya Wakubwa KifikraWanajua Kuliko Mungu Baba, Wanatoa Revenge Hawatoi MisaadaAaaaah, Sikia Dear Mama, Maisha Yangu Ni Karaha Raha Wamekaa Nazo WaoWanagawana Kwa Mgao Tena Sio Wa HakiWakishapewa, Ndugu Ndio Watu BakiSiogopi Kudondoka Naweza KunyanyukaSiogopi Kuchafuka, Mara Ngapi NajifutaSichoki Kutafuta Nikikosa Naanza Upya.Repeat Chorus 1xVerse 2.Mi Ni Ngumi Inayotuliza Maneno Yasiyo Na MsingiNa Kumfanya Anyamaze Mwenye Mdomo Ka FilimbiLeo Ni Siku Ya Wajane Washatupia Hadi MadingiWenye Beef Wachekeane Halafu Kesho Kwenye Ringi.Huu Ni Moto Unaoleta BaridiNi Four Four Two Hadi Tunapata Ushindi(Its Like That That That Tha That)Wajifanya Husikii Wala Kupenda Verse ZanguUkiniona Kwa Tv Unatamani Maisha YanguNiwe Ndio Au Sio MC, Niache KivyanguNiko Mbio Kuhakikisha Huu Mchezo Unakuwa Wangu.Asante Baba Japo Haupo Tena NamiMama Uko Mbali Ila Najua UnaniaminiShout Out Kwa Lamar Mchango Wako NauthaminiSina Saa Inayosema Nitatoka LiniHapa Nna Njaa Ila Nikisema Nani Ataniamini?Repeat Chorus 1xVerse 3.Nshafunga Goli La Ushindi Nashangilia Hadi BasiNshapanga Mori Ya Kihindi Hey Boy UsinigasiImefika Kipindi Nataka NafasiNilikuwa Mdogo Miaka Mingi Saivi Logo Iko WaziSiku Zao Zimefika, Nawasha Taa Angani KumulikaNagundua Hadi Mbali Mwanga Wangu UnafikaMademu Wanapagawa Wanaruka UkutaOkay Sawa Utakuja Home, Ila Hautanikuta.Naelimisha Kama Aya Na KwayaNaheshimika Kama Jah Na KayaNdege Aliyepaa Amechoka Kukaa ChiniNaona List Ya Mashujaa Ikiongozwa Na Mimi.Puliza, Ishakuwa Balaa Kwenye Hood NimefikaWhat’s up Kitaa Hakuna AliyenifundishaHadi Nimekuwa ShujaaNa Hakuna Atakaye Nifelisha Labda JahRepeat Chorus 2x ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.