Verse: 01 Siko radhi kukupoteza wewe, hata uwe mbali nami, baby he! Eee! Uliniona msaliti nilikuvunja moyo Sasa nielewe, Nikupe nini X2 Wewe ni samaki, Mtulivu ndani ya bahari Kukuliza siwezi machozi yaenda na maji, Wewe ni samaki, Mtulivu ndani ya bahari Kukutenda siwezi machozi yaenda na maji, Chorus: Unajua naumia Sana, Nateseka Sana, Juuyako baby, Nielewe basi! Kweli nilikosea, Ila nipe nafasi ndani ya moyo wako! Nipate kuwa nawe Sanha! Sanha! Sanha! Aaaa! x2Verse 02 Kama ni kukosea hakuna binadamu alie kamilika, Zaidi ya malaika Kama ulinipenda! Hakuna haja ya kuniumiza moyo, japo nimekosa! Bado nakupenda Unajuaa! Ninakupenda sana, Unajua! Tena najua! Ulinipenda Sana, Najuaa! Haya ni makosa tu, Kila mtu anakosa tu, Nisamehe! X2 Wewe Ni samaki, Mtulivu ndani ya bahari Kukuliza siwezi machozi yaenda na maji, Wewe ni samaki, Mtulivu ndani ya bahari Kukutenda siwezi machozi yaenda na maji, Chorus: Unajua naumia Sana, Nateseka sana, Juuyako baby, Nielewe basi! Kweli nilikosea, Ila nipe nafasi ndani ya moyo wako! Nipate kuwa nawe Sanha! Sanha! Sanha! Aaaa! x2 Outer: Unajuaa! Ninakupenda Sana, Unajua! Tena najua! Ulinipenda Sana, Najuaa!Arts: Shayne Wizzo Song: Samaki Producer: Ice cold ...
Read More...
or login using your social media account
or login using your social media account
Share