Natamani muda wote niwe nafurahi Ila haiwezekani iiiKwa sababu dunia hii ni mapito tuMuda mwingine natafuta sipati Sina wa kumvua shatiii Napapasa gizaniii sijui nini hatima yanguLabda nimekosea wapi Ama fungu langu ni lipi (Mimi nimekosea wapi fungu langu haliliki)Labda nimekosea wapi Ama fungu langu ni lipi(Kila nachofanya akilipi nimekosea wapi)Nikitafuta! Najipa moyo nitafanikiwa Pale napokosa! Napiga goti kwa wangu mola Namwomba anisaidie anihurumie nip ateNawe omba akusaidie akuhurumie upate Ooh ooh ooh ooh'Chorus'Usikate tamaa mungu yupo pamoja naweDo what's right for you I wish you'll be thereKila unachofanya ongeza bidii ufike mbele No matter what they say you have to find where you belong ooh ooh! Verse 2Najua unatamani ufike mbali Ila kumbuka ndoto yako ina thamani Ya dunia ni mapito usijali Ongeza bidii hata kama jua kali Kama ukipata ukikosa jua ni mipango ya manani How strong you are remember Kwamba siku huwa hazifanani Unatamani Ufike mbali yeee iyee iyee iyeeeeeee'Chorus'Usikate tamaa mungu yupo pamoja naweDo what's right for you I wish you'll be thereKila unachofanya ongeza bidii ufike mbele No matter what they say you have to find where you belong ooh ooh!Verse 3(Fill J Traveller)Mtafutaji jali muda Usijali kuchoka! pambana Omba omba mjini wanapigwa vitaKila kukicha heli ya afadhali ya jana Vuta picha! Vijana tunajengwa kwa uhasamaKutokata tamaa ni nguzo! Tilia mkazo kwenye siyo na ndizo, Viulizoo!!(Pacal pranoz)Najua unatamani ufike mbali Ila kumbuka ndoto yako ina thamani Ya dunia ni mapito usijali Ongeza bidii hata kama jua kali Kama ukipata ukikosa jua ni mipango ya manani How strong you are remember Kwamba siku huwa hazifanani Aah ah ahaa (Aah ah ahaa)Man traveller Pacal pranoz..THanks brother MARTINE. ...
Read More...
or login using your social media account
or login using your social media account
Share