MOYO MASHINE (BEAT)

verse 1;najua kukikucha n'tajuta, kama nikikuta unanitania,maana moyo wangu, nimekupa uweke,mimi ni mfungwa, tena mjinga,nimejileta gerezani, tena sikuwaza n'takuwa mateka,najua ulinizungusha sana, sijali huwa ni mambo ya ujana,kukupenda wewe, sijutii,maneno yalisemwa mengi sana, kuna wakati nilikata tamaa,kukupenda wewe, sichokichorus;moyo mashine, ila majibu ya upendo ulishakosa,acha waseme, nimekupendea nini (aaah) x 2verse 2:nafsi inanituma upendo uko nje ya maneno,ila vitendo,kama bubu akipenda atanena vipi kwa maneno,pasina vitendo,kiziwi hata ukimwambia nakupenda, wala hasikii, ila vitendo,wewe sijui sababu za kukupenda, siwezi sema,ila utaona,najua ulinizungusha sana, sijali huwa ni mambo ya ujana,kukupenda wewe, sijutii,maneno yalisemwa mengi sana, kuna wakati nilikata tamaa,kukupenda wewe, sichokichorus;moyo mashine....bridge;ooh kama moyo, ulisimama n'lipokuona,hukuongea, hukucheka nilikuona tu,na tabia sikufahamu,labda nature ya mwanadamu,ukipenda usishangae ni upofu wa moyo,kumbe moyo ulinirubuni,hukusema umependa nini....chorus; ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.