HOI HOI

(intro)oooh...yeahhh...(verse one)mi na waza,nawaza huyu mpenzi,lakini yuko mbali,(yeah)nataka mwona,mwona huyu mpenzi,lakini yuko mbali,nasema basi,hebu kaa huko uliko,usiwe na wasi,mambo ndivyo yalivyo,nafunga safari,naja huko uliko oh oh oh,nakutamani mpenzi,hadi naona noma(chorus)oh niko hoi hoi, navyo lia woi woi,baby nakuita,kuitaa,niko hoi hoi, navyo lia woi woi,baby nakuita,kuitaa,(verse two)nitangoja,ngoja huyu mpenzi,juu tumetoka mbali, (yeah)kuna vikwazo vikwazo vyaniandama,lakini sikubali,nasema basi,hebu kaa huko uliko,usiwe na wasi,mambo ndivyo lalivyo,shaanza safari,naja huko uliko,oh oh ohnakuhitaji mpenzi,hadi naona noma,(chorus)oh niko hoi hoi navyo lia wo ho hoinakuhitaji mpenzi, baby min akuhitaji,nakuhitaji oh(verse three)niko safarini,meaminia itabidinijikaze kidete nimalizane na wanga nasema basi,tupo wima hatukwami japo vikwazo halali,pata raha mwenyewe ukifa moyo balaa,maana unapozidi kunipenda wana hofu,ninapo zidi kutamani roho zao juumengi yamesemwa wanavipaji hawaaminiki name naja huko kwakombali unimiliki, jipe moyo mamaa nisha mwomba rabana nyota yetu yangara japo mbali inshipo siku maanani nitapeleka maharihivi vigezo twapatanikiwa mbali nadatakwasasa naja huko uliko nishafunga safari sasa usiwe na wasi(bridge)najaaa la la lalanakuhitaji mpenzi hadi naona noma,(chorus)oh niko hoi hoi, navyo lia woi woi,baby nakuita,kuitaa,niko hoi hoi, navyo lia woi woi,baby nakuita,kuitaa, ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.