NDOTO

#‎UBETI_WA_KWANZA‬>naketi kusoma moja ya tenzi za Shaaban Robert -(akinena)->roho nafasi haina yanapojiri mauti -(anasema)->ugonjwa hutibika ila mauti hayana dawa>hata kizima huaribika kufa na kupotea>ni kama natonesha jipu lakini ni kazi ya mungu>spendi kumbuka ile siku inanizidishia machungu>sijui nipo usingizini ningali natembea>ama nipo ndootoni lakini yeshatokea>mara ya mwisho tumeonana umelala tu kitandani>chozi likanianguka-kukuona ndani ya suti pasipo neno kinywani>kila mawiyo hata machweo hasa napopiga goti>taswira ya picha yako inanizunguka ndani ya mboni>-(utakumbukwa)- dakika mpaka dakika inayojiri chini ya jua>sala zetu na zikuongoze kwa mema au mabaya muweza ye ndo anajua>-(umeyeyuka)- mithilili ya moshi upoteavyo angani>ukingwe na jehanamu ulishateseka duniani>kiroho tupo nawe kimwili haupo tena>uliumbwa kwa udongo na umerudi kuwa udongo>kama vile mavumbi na umerudi mavumbini.^^‪#‎KIITIKIO‬>>>NLOONA KUWA NI NDOTO>>>LEO NAYAONA KWA MACHO^^‪#‎UBETI_WA_PILI‬>nikimtazama mama naakisi upinde wa mvua>napata matumaini juu ya hili gharika>kwa upendo tushikamane na imani itupe nuru jahazi lipate fika>tangu ile asubuhi>ulipofika- tamati ya maisha hapa chini ya jua roho mwili ikaukana>mbingu zikafunguka ukaanza maisha baada ya kifo kwenye ulimwengu wa roho, ipo siku tutaonana>naamini tupo njia moja tungali chini ya jua>si' sote tu'wasafiri na njia yetu ni fupi>safari yetu ni moja, yako imetuonyesha tunatakiwa kuishi vipi>imetuonyesha nani alikua rafiki wa kweli na ni nani ni mnafiki>nani alikua rafiki wa kher hata kwa dhiki>ah! Kumbukumbu zinanipa nguvu ya kuendelea... -(nasonga mbele...)->japo sitaki kuamini kama ushatutangulia>nakosa neno moja tu la kuelezea>the way navojiskia>giza limetangulia hatuoni unapoelekea>family inakulilia pasi na tumaini lolote>tungali tunakuombea pumziko unakoelekea>wajukuu pia wanalia pasi kuelewa chochote>lakini ni kazi yake mola...>kiroho tupo nawe kimwili haupo tena>uliumbwa kwa udongo na umerudi kuwa udongo>kama vile mavumbi na umerudi mavumbini^^#KIITIKIO>>>NLOONA KUWA NI NDOTO>>>LEO NAYAONA KWA MACHO^^‪#‎DARAJA‬^>ona tunatamani kuishi maisha yote>lakini haiyumkini kutimu mapenzi yake>dunia ya zamani lakini upya haiishi>ndomana akija mgeni maisha hayamtoshi^>ona tunatamani kuishi maisha yote>lakini haiyumkini kutimu mapenzi yake>dunia ya zamani lakini upya haiishi>ndomana akija mgeni maisha hayamtoshi^^#KIITIKIO>>>NLOONA KUWA NI NDOTO>>>LEO NAYAONA KWA MACHO ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.