KEREWA

[Verse 1 – Shetta]Kwanza umejazika kama mlima KitongaMpaka mabitozi wanajigongaFigure matata na kweli umekwenda skongaJe napokumiss naku-call tunabongaHello we ndo mamitoAmini mi ndo papitoOkay, we ndo mamitoAchana nao ya dunia yote mapitoOkay, yes we ni bonge la demuHata machizi wamesema bonge la shemWe ni bonge la demuTupendane tupeane yaani kila sehemuWe ndo mama KailaOf course mi ndo baba KailaAmini we ndo mama KailaAchana nao wanaokufata wote ni taila[Chorus – Diamond Platinumz]We ni wangu tu, tena waambie watuache tulaleWe ni wangu tu, usije niacha nikachekwa na waleOna naimba.. kerewa, kerewa (ayaya)Kerewa, kerewa (ayaya)Kerewa, kerewa (ayaya)Ah kerewa aya ya yaKerewa, kerewa (ayaya)Kerewa, kerewa (ayaya)Kerewa, kerewa (ayaya)Ah kerewa aya ya ya[Verse 2 – Shetta]Yoh umenipa nafasi sitaki nikoseeSitaki mwendo kasi sitaki nipoteeChanganya kila kitu mpaka nikoleeMi ni wako kila siku nipokee ehJua kweli nakupenda mamaSiwezi kukuigizia dramaVicheche nawakatalia sana, nafurahia pia unabania wanaMpaka wanga wanasema hunifai kabisaWanatamani nikuache kwa visaWengine wanataka nikuuze ka hisaIla mchizi nimegoma sikuachi kabisaOh yeah we ndo mama KailaOf course mi ndo baba KailaAmini we ndo mama KailaAchana nao wanaokufata wote ni taila[Chorus – Diamond Platinumz]We ni wangu tu, tena waambie watuache tulaleWe ni wangu tu, usije niacha nikachekwa na waleOna naimba.. kerewa, kerewa (ayaya)Kerewa, kerewa (ayaya)Kerewa, kerewa (ayaya)Ah kerewa aya ya yaKerewa, kerewa (ayaya)Kerewa, kerewa (ayaya)Kerewa, kerewa (ayaya)Ah kerewa aya ya ya[Bridge 1 – Diamond Platnumz]Sa usiniumize basi (ayaya)Ukanipa wasi wasi (ayaya)Ah kaugonjwa ka nafsi (ayaya)Moyo ukanienda kasi (ayaya)Ah usiniumize basi (ayaya)Ukanipa wasi wasi (ayaya)Ah kaugonjwa ka nafsi (ayaya)Moyo ukanienda kasi (ayaya)[Bridge 2 – Diamond Platnumz]Ah si unajua wenye chuki na hiyanaWametukania sana, sana usiku na mchanaWakiomba kuachana[Outro – Diamond Platnumz]So usiniumize basi (ayaya)Ukanipa wasi wasi (ayaya)Ah kaugonjwa ka nafsi (ayaya)Moyo ukanienda kasi (ayaya) ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.