Knowledge (Feat. Frema MC & Cloudy 9) [Prod. By April 18 & P-Virus]

[Intro: Cloudy 9]Young BloodHey, Ideal RecordsWhat You Think I Came For?Waaooh, Cloudy 9H.I.V, Frema MC[Chorus: Cloudy 9]Kama mtaani kuna njaa tema knowledgeTuondokane na ufukara baada ya knowledgeKuwa MC huna budi kuwa na knowledgeKnowledge, KnowledgeKama mtaani kuna njaa tema knowledgeTuondokane na ufukara baada ya knowledgeKuwa MC huna budi kuwa na knowledgeKnowledge, Knowledge[Verse 1: Frema MC]Niite Frema MC the rap collageNatema fahisi, Black knowledgeKwenye track hii sitaki comedyMathematic mithili ya geometryWacky MC nawa-crash kwenye commentPolitric juu ya beat complexNa-spit holy verse kama prophetMabishoo nawa-diss kila projectFlow, nazi-switch bila sockectMbishi nakimbiza jiji, nipo speed zaidi ya rockectSikuhizi mapenzi hakunaMabinti wanacheki change kwenye pockectFake wengi street wanaitwa boshionTozi huwezi copy motionNi hard hazihitaji usoft, so usi-apply lotionWape Hi, Oten na Selemani MsindiSholobwenzi brotherman wa morogoro mji kasoro ocean ya hindi[Chorus: Cloudy 9]Kama mtaani kuna njaa tema knowledgeTuondokane na ufukara baada ya knowledgeKuwa MC huna budi kuwa na knowledgeKnowledge, KnowledgeKama mtaani kuna njaa tema knowledgeTuondokane na ufukara baada ya knowledgeKuwa MC huna budi kuwa na knowledgeKnowledge, Knowledge[Verse 2: Cloudy 9]I gotta my scenarios niggas tryna pretendJokofu on my back and am holding to the endAm so nasty for bars but not for hoesBeware with your dang tongue nigga I be knock your showsAnd get that dough, cuz am all about the cash flows6 figures and above and not belowImma tree with art poetry, dont you see the fruits?You tryna throw stones cuz am hot on beatsYou gonna like cuz I never hatedNever under-rated, am not over-ratedHits for the streets thats what people needyYou say, you gotta skills but all I see is nothin'Dont live like a star, if you still upcomingHuu muziki siwezi udai kwasababu sijaukopeshaBaada ya kifo naacha kazi na sio pengo wala nyufa[Chorus: Cloudy 9]Kama mtaani kuna njaa tema knowledgeTuondokane na ufukara baada ya knowledgeKuwa MC huna budi kuwa na knowledgeKnowledge, KnowledgeKama mtaani kuna njaa tema knowledgeTuondokane na ufukara baada ya knowledgeKuwa MC huna budi kuwa na knowledgeKnowledge, Knowledge[Verse 3: H.I.V]Daima nitabaki mjuzi kwenye kazi hiiMa-wacky niwapuuzi nawatupa kwenye dustbinShingoni rozali sina tasbiiEti, Hip-Hop haiuzi huo ni unafiki wa MadeeMaswali ya kiwacky kamuulize nash emceeGangsta kama Bun B, Napeta kama Young DeeNamkalisha vibaya Kali PWe ni fake Tai Chee, Dont try meMr. H.I.V, Kung Fu Best, HQ VerseChuo kikuu cha tenzi, Masista duu washenziWanauza nyeti ila bila kuwapa cash first hawagawi penziNaienzi school collage ya kizaziMuziki wenye knowledge kama dazSumu ya panya mpeni WakaziHumu hapana, Ngumu inachana wazi kama vazi[Chorus: Cloudy 9]Kama mtaani kuna njaa tema knowledgeTuondokane na ufukara baada ya knowledgeKuwa MC huna budi kuwa na knowledgeKnowledge, KnowledgeKama mtaani kuna njaa tema knowledgeTuondokane na ufukara baada ya knowledgeKuwa MC huna budi kuwa na knowledgeKnowledge, Knowledge ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.