[Intro]Namjua, (okay) namjuaNamjua, (okay) namjuaNamjua, namjuaNamjua, namjua[Verse 1]Kuwa nae paradiso, mie nae uhai kwa kifoKama babu na kiko, niko nae toka nausa sisalAkitembea lawama (namjua) eh, okayHuko nyuma danadana (namjua)[Pre-Hook]Iwe kokwa, iwe gandaAkinipa najilambaAnavyolicheza vangaTimbwili kwenye kitandaAlele leleleAlele lelele[Hook]Mwenye ki-shape kidogo (namjua, namjua)Mwendo wake wa mikogo (namjua, namjua)Sura kama mtoto mdogo (namjua)Eh (namjua)Utamu wa embe dodo (namjua, namjua)[Bridge]Shusha nchungulie (adeedeede, eh, adeedeede)Nionee kwa mbali (adeedeede, eh, adeedeede)Japo nshikilie (adeedeede, eh, adeedeede)Chungu au asali (adeedeede, okay, adeedeede)[Verse 2]Leo pochi imenonaMi nataka kutokaVaa top ya kushonaNigonge suti na mokaTena ukiwaonaUsije ukashobokaTuwafungie na konaMaana marafiki nyoka[Pre-Hook]Iwe kokwa, iwe gandaAkinipa najilambaAnavyolicheza vangaTimbwili kwenye kitandaAlele leleleAlele lelele[Hook]Mwenye ki-shape kidogo (namjua, namjua)Mwendo wake wa mikogo (namjua, namjua)Sura kama mtoto mdogo (namjua)Eh (namjua)Utamu wa embe dodo (namjua, namjua)[Bridge]Shusha nchungulie (adeedeede, eh, adeedeede)Nionee kwa mbali (adeedeede, eh, adeedeede)Japo nshikilie (adeedeede, eh, adeedeede)Chungu au asali (adeedeede, okay, adeedeede)[Outro]Ale shusha nchungulie (adeedeede, eh, adeedeede)Nionee kwa mbali (adeedeede, eh, adeedeede)Japo nshikilie (adeedeede, eh, adeedeede)Chungu au asali (adeedeede, okay, adeedeede) ...
Read More...
or login using your social media account
or login using your social media account
Share