Mziki True by Ben C

Verse 1:" Mtaelewa linini zaidi ya maumbilena kusema tu kwa ulimipasipo imani wee!?Mtaelewa liniYesu hadanganywi wee!?Chunga kusema tu kwa ulimiusije ji laani wee!Ashindwe pepo!!!Kwa wasani wa Gospel bandiawakucheza na zetu hisia!Kwa kuimba nyimbo za kiduniana kumtaja Yesu,...( Ashindwe pepo!!! )Kwa wasani wa Gospel bandiawakucheza na zetu hisia!Kwa kuimba nyimbo za kiduniana kumtaja Yesu,...na kumbe si mziki,... "Chorus;'...wa kuhubiri injilimziki ambao ni true!Mziki si akilini true feelings,mziki ambao ni true!Mziki wa kuhubiri injilimziki ambao ni true!Mziki si akilini true feelings,mziki ambao ni true! 'Verse 2:" Kati ya mamillioni ya watuYesu kakupa talanta!Kipaji cha kupa watu zawadi ya wokovukama vile Santa!Ili umtumikiekakupa jina la mtumishi wee!Ukaona debe ujipigie!Ashindwe, Riswaa!!!Huyo ibilisi,... na,... pepo,...wasani wa Gospel bandiawakucheza na zetu hisia!Kwa kuimba nyimbo za kiduniana kumtaja Yesu,...( Ashindwe pepo!!! )Kwa wasani wa Gospel bandiawakucheza na zetu hisia!Kwa kuimba nyimbo za kiduniana kumtaja Yesu,...na kumbe si mziki,... "Chorus;'...wa kuhubiri injilimziki ambao ni true!Mziki si akilini true feelings,mziki ambao ni true!Mziki wa kuhubiri injilimziki ambao ni true!Mziki si akilini true feelings,mziki ambao ni true! 'Verse 3;" Mimi msani nitaimba( mziki ambao ni true )Na ka mi ni DJ nita replay( mziki ambao ni true )Na kaa mi ni dancer nitakatika( mziki ambao ni true )Nakama mi ni fan nitaskiza( mziki ambao ni true )Ashindwe pepo!!!Kwa wasani wa Gospel bandiawakucheza na zetu hisia!Kwa kuimba nyimbo za kiduniana kumtaja Yesu,...( Ashindwe pepo!!! )Kwa wasani wa Gospel bandiawakucheza na zetu hisia!Kwa kuimba nyimbo za kiduniana kumtaja Yesu,...na kumbe si mziki,... "Chorus;'...wa kuhubiri injilimziki ambao ni true!Mziki si akilini true feelings,mziki ambao ni true!Mziki wa kuhubiri injilimziki ambao ni true!Mziki si akilini true feelings,mziki ambao ni true! 'Outro:" Ntaimba mziki( mziki true )Nitacheza mziki( mziki true )Nitaskiza mziki( mziki true,...mziki ambao ni true ) " ×2 ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.