Ndoa

UBETI WA KWANZA

Haidaiwi kama deni dukani kwa mangi hahaa..

Usinishwawishi kwa uzuri wa sura wazuri ni wengi sanaa...

unisikilize eeeh WE DADA

nikuelKezeee WE DADA..

/> wenzako wajanja wamenunua viwanja wameanza kujenga..

Kila siku saloon kiguu na njia unamangamanga..Unisikilize we dada aaah.. kiuelekeze!!

wala usiniulize we dada.. lini nitakuoa...!!

Nimesema sitaki kupretend maisha.. waachie bongo movie.

mara kitchen party kila siku sherehe.. utadhani ndo kungwi!!KIITIKIO

Ndoa..ndoaa..ndoaa..HAIDAIWI WE DADAAAH...

Ndoa.. ndoaa ndoaa..NISHAWISHI KWA VITENDOO...

Ndoa ndoaa ndoaaa..

Haidaiwi we dadaa

Ndoa ndoaa ndoaa..

Nishawishi kwa tabiaaa...UBETI WA PILI

Nikaongeza ufundindi ili niitwe baba...

Mwenzangu ukaitoa mimba!1

Tangu niwe nawe hujawahi kunipa mawazo yenye kujenga...

Wala hujawahi guswa na matatizo ya familia yangu..

Unapenda offer hadi najiuliza unawalipa nini mwenzangu!!

Nikienda kazini nyumbani haukaii..

Unataka tuchati muda wa kazi haifai..

Nikisema nipo busy na kazi ubabe wa nini?

Nikisema nipo na staff wenzangu ..Mara nipe niongee na fulani!!!!!!!!KIITIKIO

Ndoa.. ndoaa ndoaaa..

Haidaiw we dada..

Ndoa ndoaa ndoaa..

Nishawishi kwa vitendoo..

Ndoa..ndoaa.. ndoaa

Haidaiwi we dadaa...

Ndoa.. ndoa ndoaa..

Nishawishi kwa tabia...

MWISHO.. ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.