Artist

Artist Image


Sharoti

Jina langu halisi naitwa Hamisi Saidi Mbelwa, Kabila langu ni Mkwere aliyechanganyika na Mdoe, nimezaliwa Mkoa wa Pwani mwaka 1990, kwa sasa naishi Ubungo Kibo. Nilianza muziki kipindi nipo shule ya msingi na kabla ya kuanza kuimba nilikuwa nafanya show za kucheza kwa wasanii inafahamika kama (Dancer) na pia shughuli zangu za kucheza show (Dancer) nilikua nfanya katika chuo au nyumba ya vipaji (THT) ndipo hapo nilipoanza kupenda kuimba baada ya kuwa na ukaribu wa wasanii mbalimbali, na aina ya muziki ninaofanya ni wa Afro Pop na nyimbo yangu ya kwanza nilirecord siku ya tarehe 5/5/2013 na nyimbo yangu inaitwa WOGILE niliyomshirikisha Don Shiller na ninategemea matunda mengi kutokana na muziki ninaofanya maana muziki ndiyo ajira yangu. ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.