Artist

Artist Image


Shwari Kuu VJ

JINA LANGU NAITWA VICTOR JOHN nimezaliwa 27-11-1991;MUZIKI NILIANZA MWAKA 2003 NIKIWA NA MIAKA 13 NILIKUWA MSANII WA KIDUNIA NA NILIWAHI KUSHIRIKI MWAKA 2011 KTKA MASHINDANO YA SERENGETI FREESTYLEBATTLE YALIOANDALIWA NA REDIO CLOUDSFM CHINI YA MAJAJI FIDQ,B DOZEN;DX;DJ FETTY; NANIKAIBUKA MSHINDI WA PILI, NIKACHAGULIWA KWENDA KUIWAKILISHA ARUSHA; DAR KTKA MASHINDANO HAYO YA MITINDO HURU! NA PIA NILIWAHI KUSHIRIKI TENA KTKA MASHINDANO YALIOANDALIWA NA REDIO KILI FM YAKUMTAFUTA MKALI WA HIPHOP KASKAZINI NA NILIIBUKA MSHINDI WA KWANZA; LAKINI NILIKUJA KUPATA NEEMA YA WOKOVU NA NIKAANZA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU KWA BIDII NA TARATIBU NKAANZA KUSKIA WITO WA MUNGU NDANI YANGU HAIKUWA RAHISI KUITIKIA HUO WITO LAKINI ATUKUZWE MUNGU MWISHONI WA MWAKA 2012 NDIPO NILPOAAMUA KUMTUMIKIA MUNGU BABA KTKA UFALME WAKE@ UFALME WA NURU;SASA MIMI NI MSANII WA UFALME WA MUNGU MSANII WA INJILI NATUMIA UWEZO WANGU KIPAJI CHANGU SASA KWA KUPELEKA HABARI NJEMA UJUMBE WA MUNGU KOTE DUNIANI. ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.