Artist

Artist Image


B-Marley in Classic

Nimekulia kijijini, hicho kijiji kinaitwa Ngalanga kipo mkoani Njombe na baada ya kumaliza Elimu ya msingi ndipo nilipofuna safari ya kuja mjini na kuendelea na masomo ya Sekondari. Nikajiunga na sekondari inayokwenda kwa jina la Haki Mission napo nikaja kuacha shule nikiwa nipo kidato cha pili kwa matatizo yaliyosababishwa na shule. Ndipo nilipojifunza music. Baada ya kuacha masomo ikabidi nihamie chuo kimoja kinachoshughulika na mafunzo ya udereva, ndipo nikajiunga na mimi. Kwa sasa hivi ninaishi Njombe. Mwaka elfu mbili na kumi na mbili (2012) ndipo nilipoanza music na nikatoa nyimbo yangu ya kwanza na hadi sasa nina nyimbo mbili na music ninaoufanya ni bongo fleva, Bongo fleva ndiyo aina ya music ninaoufanya na kilichonifanya niwe msanii au mwana muziki ni kutaka kuelimisha jamii na vilevile maslahi yanu na mazingira. ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.