Artist

Artist Image


Don Shiller

Makongo juu Dar es Salaam ndiyo sehemu ama mahali ambapo nimezaliwa. Nikiwa bado mdogo familia yangu ikahamia Mkoani Mtwara kikazi. Mtwara ndiyo sehemu imechukua sehemu kubwa ya makuzi yangu na elimu yangu ya msingi na Sekondari nimeipata mkoani Mtwara.
/>Dar es Salaam ndiyo naishi kwa sasa na muziki nimuanza rasmi mwaka 2005, Mkoani Dar es Salaam. Bongo fleva (Afro pop) ndiyo aina music ambao ninaufanya ingawa nina uwezo wa kufanya aina nyingine ya muziki kama vile R&B, Kwaito, Zouk, Zouk rhumba, Reggae na mingine pia.
Kwanza napenda music na pili nina kipaji hizi ndiyo sababu kuu ambazo zimenifanya niwe msanii ama muimbaji katika safari yangu ya music bado sijafanikiwa kupata tuzo ingawa najua siku si nyingi nitazijaza kwenye kabati langu.
Nina kiu na ndoto ya kuwa mwanamuziki mkubwa Tanzania, Afrika na Duniani kote kiujumla haya ndiyo malengo ambayo ninayo na ninayofanyia kazi kwa sasa na nitafanikiwa kwasababu nia na uwezo ninao na pia nina sababu ya kufika huko.
Napenda muziki na muziki pia unanipenda kwa hiyo na muziki, na nataraji nitaufanyia nishaona. ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.