Artist

Artist Image


scooby rocka

Abdallah Mlangwa Jr. (Alizaliwa mwaka 1988 katika hospitali ya Mount Meru iliyopo jijini Arusha Tanzania).Ni msanii wa Hip hop na bongo flava kutoka Tanzania.Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Scoobyrocka.Scoobyrocka alianza shughuli za muziki mnamo mwaka 2003.Scoobyrocka alitoa kibao chake cha kwanza mwaka 2010 kiitwacho \'Uwezo\' alichoshirikiana Troubadour & Malfred chini ya studio za m-lab,chini ya usimamizi wake Innocent Mujwahuki.Kibao hiki kilimpa nafasi ya kujulikana na kupata heshima ikiwa ni pamoja na kushirikishwa kwenye kazi kadhaa zilizowahi kutoka ikiwa (Melafina-Abou music ft Scoobyrocka,Hila- Scoobyrocka,young sappy & semi page ft Shady bullet 2011).Scoobyrocka aliendelea kufanya kazi chini ya studio za m-lab ambazo nyingi hazikutoka. Ameendelea kufanya kazi kama msanii wa kujitegemea na kukamilisha santuri ikiwa na upishi wa ladha tofauti toka studio tofauti(music lab,Tongwe records,Fish crab, SnS,Snap records & Macube records.Santuri hii itaingia sokoni hivi karibuni ikiwa imebeba nyimbo zaidi ya 10,nyimbo kama mdudu papasi & chocolate zitapatikana kwenye santuri hii itakayoingia sokoni 2016 mwanzoni. ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.