Ellysomeboy PLatnum. Mimi Ni Mwanamuziki Niliezaliwa Mkoani Mbeya Mjini Na Nimekua na Kusoma Elimu Yangu Ya Msingi Mpaka Sekondari Hapa Mbaya Mjini, Chuo Kikuu Nimesoma Jijini Dar-es-Salaam Na Mpaka Sasa Bado Ni Mwanafunzi Wa Chuo Kikuu Huria Branch Ya Mbeya Jiji Nikitokea Branch Ya Ilala. Nasomea Shahada Ya Uhasibu. Kwa Ujumla Nyimbo Karibu Nyingi Nilizofanya Ni Katika Studio Yangu Mwenyewe Iitwayo SuperRecords Studios Iliyopo Geto. Kwaiyo Natoa OmbiLangu Kwa Yeyoteyule Ambae atavutiwa na Kipaji ama Nyimbo Zangu Akiamua Kuniendeleza Nami Niweze Sikumoja Kurecord Studio Kubwa Hapa Nchini Pamoja Na Kusikika Sana Kwa Media Kama Redio na Televisheni Hakika Nitashukuru Sana, TAFAADHALI SANA NAWAOMBENI MUNISAPOTI KWA KILA HALI NA MALI ILI HUU MZIKI WETU UZIDI KUENDA MBALI ZAIDI. Namba yangu ya simu: 0759 339 991 ellysomeboy@gmail.com www.facebook.com/ellysomeboy ... Read More...
Share