Jina langu halisi ni Mwijage Richard Alibalio Prudence kifupi cha M-RAP ambapo ni kifupi cha majina yangu yote,Miaka miwili nyuma nilisaini mkataba na Bhitz chini ya Hermy B na Pancho na kumaliza na kuhamia Am rec .ambapo kuna mzizi wangu wa muziki,thats where i started my music journey nkiwa na Manecky ambapo nipo mpaka sasa,Nimefanikiwa kutoa nyimbo 8 ambazo zimenitambulisha vizuri kwenye mziki,Ninachukua Bachelor Degree ya Mass Comm.hivi sasa Chuo kikuu cha Tumaini...Got more n many projects to come...Lion ... Read More...
Share