Artist

Artist Image


Kihayile Group

ni kikundi cha uimbaji kupitia nyimbo za injili kilichopo Mwanza Tanzania.Kikundi cha familia moja wanaomtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji.Kikundi kinajulikana Mwanza,Tanzania na Dunia nzima na kupata umaarufu mkubwa. Pia kikundi kina julikana kwa kuimba nyimbo za harusi na za majukwaani.Kikundi kina nguvu ya kutawala jukwaa na kuimba vizuri sana kutokana na kuwa na staili tofauti na kuwa na nyimbo nzuri zinazofutia na kuleta uwepo wa kimungu na kubadilisha maisha ya watu.Kikundi kina albamu mbili ambazo ni Msaada na Mungu mkuu ambazo zimepata kujulikana Tanzania na Dunia nzima. kihayile Group inajulikana kwa kuimba vizuri na kuwa na sauti zenye mvuto unaokupa kibali cha kupenda kuendeleza kusikiliza nyimbo hizo. Kihayile group inaunganisha vijana wenye vipaji vya kuimba vya hali ya juu pia wakishirikiana na dada yao mpendwa mmoja mwenye sauti ya pekee. Vijana hao wanavipaji tofauti tofauti kama kuhubiri, watunzi wa nyimbo, maproducer ambao nyimbo zote huwa wanatengeneza wenyewe pia wanapiga vyombo vya mziki kama gitaa, kinanda na drums.Kihayile Group ni kikundi kilicho pata umaarufu Tanzania nzima pia kikundi hichi kinaongoza kwa kupata miariko ndani na nje ya inchi. ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.