An Artist from Tanzania known as IMMO which is an acronym to (I Make My Own) he's genre of music combines both RnB and Rap and his also a Co_founder to his own independent label or company known as Ostrich music.Msanii kutoka Tanzania anaetambulika kwa jina IMMO maana halisi au kirefu cha jina lake ni i Make My Own (natengeneza cha kwangu) ana ladha ya kuimba na kurap kwa pamoja na pia ni mmoja wa wanzilishi wa lebo au kampuni yake na wenzake inayoitwa Ostrich music. ... Read More...
Share