Artist

Artist Image


Sauti Ya Babu

Nimezaliwa na kukulia mkoani Kagera, nimesoma shule ya msingi na sekondari humu humu kagera kisha kidato cha tano na sita katika sekondari ya Pugu. Nimehitimu shahada ya udaktari na binadamu nchini Cuba. Nimekuwa mtumishi wa Serikali na kiongozi katika idara ya afya kwa sasa ni mstaafu na naishi katika Manispaa ya Bukoba.
Nilianza kutengeneza muziki tangu mwaka 2010, Nia yangu ya muziki ni UGANI (MSHAHIRI). Mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi hapa nchini yamenisukuma nianze kutoa nasaha kwa njia ya nyimbo. Malengo yangu ni kuendelea kuhamasisha na kuielimisha jamii pia kupata kipato. ...

Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.