Kiri records ni studio inayo rekodi muziki na kujihusisha na kazi za kisanaa. imefanikiwa kufanya kazi na wasanii wengi wakubwa pamoja na chipukizi. Studio hii inapatikana maeneo ya Kinondoni Studio.. kazi tulizofanikiwa kufanya na zikafanya vizuri ni kama zifuatazo \Sharo Millionea Ft Dully Sykes-Chuki Bure, \Rich Mavoko-One Time, \Amini-Ni Wewe, \Young D FT Jux-Sio Mchoyo, \NYandu Tozi FT Mr Blue-Mambo Mengine Badae, \Countryboy Ft Young Killer&Young D-Akili za Usiku \ na nyingne kibao. Kwa masiliano piga +255769406306 ... Read More...
Share