Artist

Artist Image


Mwana Hitra

Nimezaliakatika kitongoji cha Ipagala Wilaya ya Dodoma mjini mpaka hivi sasa ninaishi katika kitongoji hicho nikiendesha shughuli zangu zote za kimaisha.
Nilianza kuandika mashairi ya muziki mwaka 2000 lakini rasmi kuingia studio ilikua ni mwaka 2009 kitu kilichonipa ujasiri mkuba na kupenda kile ninachokifanya. Pia aina ya muziki nanaoufanya ni Hip Hop lakini ninaweza kufanya aina ya muziki wowote ule nikiamua.
Malengo yangu kimuziki ni kuifikisha katika kiwango cha kimataifa na kuipeperusha vyema bendera ya nchi yangu nzuri Tanzania iwapo nitapata fursa ya kuzitangaza kazi zangu kwani juhudi na maarifa na ubunifu pia ndiyo nguzo ya mafanikio ya sanaa. ...

Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.