Artist

Artist Image


Kadja Nito

Jina langu ni Khadija Said Maige. Nilizaliwa Feb 4 kule Kisesa , Mwanza, wazazi wangu wakahamia Tabora na kule nikaanza shule ya msingi katika shule ya Nyasa 1, tukahamia Dar es Salaam na kujiunga na shule ya Kibasila na kumaliza shule ya msingi. Nikajiunga na elimu ya sekondari katika shule ya Actas Mbezi. Wakati wote huu nilianza sana kupenda kuimba na hata nyumbani wakawa wananisifu kuwa na weza jambo ambalo lilinifanya nijaribu bahati yangu kwenye lile shindano la Bongo Star Search, niliondolewa mapema, nikaambiwa sijui kuimba. Mwaka 2008 nilisikia habari ya Tanzania House of Talent, THT, nikaenda ili nijiunge katika uimbaji. Niipofika kule nikakuta watu wanaimba vizuri sana nikabadilisha msimamo kabla hata ya kuanza kusailiwa na nikajieleza kuwa mimi nimekuja pale kujua taaluma ya dancing. Nilikaa kwa muda mfupi maana roho ilikuwa ikiuma kuwaona wenza ngu wakiimba na mimi nikawa mcheza show, fani ambayo sikuipenda sana. Nilikuja kurudi tena THT 2011 , safari hii nikafanya interview nikapasi na kuanza mafunzo rasmi ya kuimba. Baada ya hapo nikarekodi wimbo wangu wa kwanza MAUMIVU katika studio za hapo THT na video ikatengenezwa na Legendary Music. Na sasa nimetoa wimbo wangu wa pili Nzogo ambao maana yake ni NJoo kwa Kisukuma, video pia iko tayari. ...
Read More...

Albums | Show all albumsWelcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.