Artist

Artist Image


Swalley

Nimekulia na kuishi Temeke mpaka sasa, nimeanza kutengeneza muziki rasmi kuanzia mwaka 2010 nikiwa nafanya muziki wa Hiphop, R&B kiukweli rap nilikuwa naipenda tangu nikiwa primary school, nilikuwa mshabiki mkubwa sana wa Rap hasa hiphop ya North America na Tanzania. Sababu hii ilinipelekea kupenda sana rap na ukizingatia nina uwezo mkuba sana wa kurap. Niliyokuwa sekondari hapo ndipo nilianza kutunga mashairi yangu mwenyewe kwasababu mwanzoni nilikuwa naimba na kuingilizia mashairi ya wasanii wenye majina enzi hizo nikiwa kama mshabiki. Kushinda tuzo ni sehemu ya malengo yangu na sio kuishia hapo tu. Bali kufika mbali zaidi na kueneza jina la Tanzania ulimwenguni kote kupitia Nyanja ya muziki. ...
Read More...

SongsWelcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.