UPO KAZINI

UPO KAZININijapopita kwenye bonde la uvuli wa mauti,sitaogopa maana ninajua wewe u nami,Mara nyingine huwa ninalia lakini bado nakwamini,huchelewi huwahi unajibu kwa wakati,eeh yesu(CHORUS)Ninajua upo kazini,ndo maana najipa imani, Ninajua Bwana bado upo kazini ndo maana najipa iman Kazi kwa ajili yangu (unashughulika na shida) zanguuUtete nao wanaoteta nami Bwana, upigane nao wanaopigana nami siwaziMaana bila sababu wameichimbia shimo nafsi yangu, kweli bila sabab wamenitega kwa nyavu uuWamesahau mema wananilipa mabaya nafsi imeingiwa ukiwa Yesu utaniokoa X2 Yawe(CHORUS) (BRIDGE) Yesu peke yako nakimbilia,nimezidiwa Ebenezer utanisaidia,Wee baba mwanao nakuliliaaNajua unaona unaelewa jinsi gani mwanao nateseka, na wala hujanitupa hujaniacha ila liko jambo unanifunzaNa tena unaweza hujashindwa kuniponya kunipa ninachotaka,unaniwazia mema unanipenda utanijib wakati ukifika(CHORUS) ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.